Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la
Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. Kushoto ni Askofu wa
Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki
la Bunda, Renatus Nkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu
Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao ,
Ofisini kwake jijini Dar es alam Agosti 18, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la
Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa (kushoto kwake),
Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia) na
katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba
(kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.
(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)


