Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
Michezo akichangia hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya upatikanaji wa Taarifa ya
mwaka 2016 ambapo alisema Muswada huu utasaidia kuongeza uwazi na uwajibikaji
pia utasaidia kukuza tasnia ya habari nchini, Wakati wa Kikao cha 2 leo Bungeni
Mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu
(Watu wenye Ulemavu) akichangia akichangia hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya
upatikanaji wa Taarifa ya mwaka 2016 ambapo alisema Muswada huu utasaidia
kukidhi hitaji la kikatiba la watu kupata taarifa, Wakati wa Kikao cha 2 leo
Bungeni Mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju akichangia hoja kuhusu Muswada wa Sheria ya upatikanaji wa Taarifa
ya mwaka 2016 ambapo alisema na kusisitiza umuhimu wa muswada huu ikiwemo
kuongeza wigo wa upatikanaji wa taarifa kwa waandishi wa habari.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.
Harrison Mwakyembe akijibu hoja zilizotolewa na wabunge kuhusu Muswada wa
Sheria ya upatikanaji wa Taarifa ya mwaka 2016 ambapo aliwataka wabunge kuacha
kupotosha kuwa muswada huu utavibana vyombo vya habari na kuwataka kuusoma na
kuuelewa muswada huo