Mwishoni mwa wiki hii timu za soka za
kampuni ya TBL Group na Benki ya Barclays zilichuana vikali katika mchezo
uliochezwa katika uwanja wa Karume,Ilala jijini Dar e salaam ambapo hadi mwisho
wa mchezo zilizotoka sare kwa kufungana mabao 3-3.
Mpambano huo ulihudhuriwa na baadhi
ya wafanyakazi kutoka taasisi hizi mbili kwa ajili ya kushangilia na kuhamasisha
timu zao kuongeza mori katika mchezo
Mshambauliaji hatari wa timu ya
TBL Group, Lupakisyo Mwanjoba (kushoto) akiwatoka mabeki wa timu ya benki ya Baclay’s
wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika
kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, Jana. Timu hizo zilitoka sare
ya mabao 3-3.
Walinzi wa timu ya TBL Group
wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya benki ya Barclays, Rajab Adebayo
(katikati) asilete madhala kwenye lango lao wakati wa mchezo wa kirafiki
uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijinin Dar es Salaam jana timu hizo
zilitoka sere ya mabao 3-3.
Kocha wa timu ya TBL Group akitoa
mawaidha kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.
Kikosi cha timu ya TBL Group wakiwa
kwenye picha ya pamoja wakati wa mchezo wao wa kirafiki na timu ya benki ya
Barclays
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakifuatilia
mchezo baina ya timu yao na timu ya
benki ya Barclays uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Kikosi cha timu ya benki ya Barclays.
Kipa wati ya benki ya Barclays akiokoa
moja ya hatari mbele ya washambuliaji wa timu ya TBL Group wakati wa mchezo wao
uliofanyika kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.








0 Comments