Mabondia
Manyi Issa kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya
kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Mustafa Dotto October 2 katika
ukumbi wa white house kimara koroge
Mabondia
Manyi Issa kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya
kusaini mkataba kwa ajili ya kuzipiga Mustafa Dotto October 2 katika
ukumbi wa white house kimara koroge Picha na SUPER D BOXING NEWS| MUSTAFA DOTTO .................................................. |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA
MBALIMBALI KUZIPIGA October 2 katika ukumbi wa White House Kimara
Korogwe mabondia hawo ni Manyi Issa atakaezipiga na bondia mkongwe na
mzoefu Mustafa Dotto katika uzito wa kg 61 na mpambano mwingine
utawakutanisha maasimu Shedrack Ignas atakae zipiga na Abdalla Ruwanje
katika uzito wa kg 63 mpambano wa raundi sita
Mapambano hayo yameratibiwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
aliongeza kwa kusema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya masumbwi yatakayo kuwepo siku hiyo
mapambano
mengine yatawakutanisha mabondia Emanuel Kisawani atakaezipiga na
Ellsame Mbwambo katika uzito wa kg 61 wakati bondia Mohamed Muhunzi
atapambana na Kassim Ahmad mpambano wa raundi nne KG 56 bondia
machachali anaekuja juu zaidi katika mchezo wa masumbwi nchini Saidi
Chino atazipiga na Haidali Mchanjo mpambano unao subiliwa kwa hamu kubwa
na mashabiki wa mchezo uhu wa masumbwi na ndio pambano litakalo beba
michezo yote ya siku hiyo
Mabondia
wengine watakao zichapa siku hiyo ni Athumani Yanga atakae oneshana
ubabe na Hashimu Chisora katika uzito wa KG 61 wakati Karim Migea
atavaana na Bright Nazad katika uzito wa kilo gram 61 na mpambano
mwingine utawakutanisha Julias Jackson atakae vaana na Emilio Norfat
mpambano wa raundi sita
Katika
Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi
pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na
kocha 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo
na mashabiki kujua sheria za masumbwi.
Ndani
yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
0 Comments