
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Septemba 6,2016. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Busega,
Raphael Chegeni, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na Mbunge wa
Bumbuli, January Makamba.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Raphael
Chegeni kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi
Hilaly kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato
Chumi kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa
kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)