Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai mara alipowasili katika
Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),
[Picha na Ikulu.]
29 /10 /2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi
wa Chama wakati alipowasili katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja leo, kushiriki kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC),kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,(kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamo wa Pili wa Rais Mhe,Balozi Seif Ali Iddi,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe,Vuai AliVuai,
Wajumbe wa kikao
cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)
wakipitia agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,kikao hicho kimefanyika leo katika
Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,

Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halamashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) wakipitia
agenda mbali mbali zilizotayarisha katika kikao hicho cha siku moja
kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,

0 Comments