Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe. Phillip Mangula mara baada ya kuwasilisha mada
kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).Kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo
hicho Profesa Shadrack Mwakalila, Mwenyekiti wa Kongamano hilo ambaye pia ni
Spika wa Bunge la Jamhuri msaafu Mhe. Anne Makinda.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu
Nyerere, Mzee Joseph Butiku akiwasilisha mada kuhusu Miiko ya Uongozi wakati wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika
leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17
tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara,
Mhe. Phillip Mangula akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika
leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17
tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma akiwasilisha mada
kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho
ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere wakifuatilia mada kutoka kwa
wawasilishaji ambao ni Mhe. Phillip Mangula, Joseph Butiku, Ibrahim Kaduma na
Dkt. Harun Kondo, mada zilizowasilisha ni pamoja na Miiko ya Uongozi, Azimio la
Arusha na Maadili ya Viongozi.
Mchumi Mwandamizi Profesa Ibrahim Lipumba
akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu
Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni
kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella
Marios cha Mtwara Padre, Dkt. Charles Kitima
akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Watoa mada wakinukuu michango ya washiriki wa
Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika
leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17
tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.Kutoka kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM – Bara, Mhe Phillip Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi
ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma na
Mwanasiasa Mkongwe Mhe. Wilson Mkama.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho
ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere wakiangalia baadhi ya maandiko na
machapisho aliyoandika Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere enzi za
uhai wake yanayochapishwa na Mkuki na Nyota Publisher
leo Jijini Dar es Salaam wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za
Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika
ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa Kongamano
la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini
Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu
Nyerere(MNMA).Naibu Waziri huyo ndiye alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano
hilo. Lililokuwa limebeba nukuu ya Mwalimu Nyerere isemayo “Viongozi ni lazima
wawe mfano mzuri kwa wananchi kwa maisha yao na vitendo vyao pia”.
Spika
Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia alikuwa
Mwenyekiti wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere
lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya
Mwalimu Nyerere(MNMA) akiagana na washiriki.
Picha
na. Frank Shija, MAELEZO.

0 Comments