Viongozi wa serikali, Vyama vya siasa na wabunge wakisafiri kutoka
Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege mpya ya Shirika la Ndege la
Tanzania (ATCL) ya Bombardier, Novemba 13, 2016. Wote walikwenda Urambo
Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta Novemba 12, 2016. Kutoka kulia
ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary, Naibu Spika wa Bunge,
Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe.
(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments