Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Bw. Francis Assenga (Katikati) akimkaribisha
Mwakilishi Mkazi
wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia).
Kushoto ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha wa TADB, Bw. Albert Ngusaru.
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake,
Dkt. Tonia Kandiero (Kulia) akisaini Kitabu cha Wageni wakati
alipotembelea
TADB. Anayemtazama ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Bw. Francis Assenga.
Mkurugenzi
wa Hazina na Utafutaji Fedha wa TADB, Bw. Albert Ngusaru (Aliyesimama)
akizungumza wakati Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero alipotembelea TADB.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Bw. Francis Assenga (Aliyesimama)
akizungumza wakati Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero alipotembelea TADB.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Bw. Francis Assenga (Wapili
kulia aliyesimama) akihimiza jambo wakati Mwakilishi Mkazi wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero
alipotembelea TADB.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania
(TADB), Bw. Francis Assenga (Kushoto) akimpatia Zawadi ya Ramani ya Tanzania
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia).
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake,
Dkt. Tonia Kandiero (Kulia aliyesimama) akizungumza wakati alipotembelea
TADB. Kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga.
Afisa anayeshughulikia masuala ya kijinsia katika Benki ya Maendeleo
ya Kilimo Tanzania, Bibi Beatrice Mrema akitoa neno la Shukrani kwa Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero.
Mwakilishi
Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake,
Dkt. Tonia Kandiero (Wapili kulia mstari wa mbele) akiwa katika picha ya
pamoja na Menejimenti na maafisa waandamizi wa TADB.

0 Comments