Mtaalam wa Mauzo
na Masoko kutoka Kampuni ya Utengenezaji wa Vifunganshio vya Bidhaa (Omar Packaging Industries Ltd) iliyopochini
ya Bakhresa Group Bw. Idd Msoma akielezea jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru
alipotembelea banda la Azam alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya kufunga
maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania jana jijini Dar es Salaam. Katikati
ni Afisa Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products
Bw. Tunga Ally.
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm
Meru akiangalia baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na Kiwanda cha Azam
Food Products Ltd alipotembelea banda la Azam wakati wa hafla ya kufunga
maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania jana jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm
Meru akiangalia unga wa ngano wa pakiti ya Kilo moja unaotengenezwa na Kampuni
ya Bakhresa alipotembelea banda la Kampuni hiyo jana Dar es Salaam. Kulia ni Afisa
Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products Bw.
Tunga Ally.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt.
Adelhelm Meru akifurahia jambo na wafanyakkazi wa Kampuni ya Bakhresa alipotembelea
banda la Kampuni hiyo jana Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mtaalam wa Mauzo na
Masoko kutoka Kampuni ya Utengenezaji wa Vifunganshio vya Bidhaa (Omar
Packaging Industries Ltd) iliyopochini ya Bakhresa Group Bw. Idd Msoma na Afisa
Masoko wa Kanda ya Pwani na Kaskazini wa Kampuni ya Azam Food Products Bw.
Tunga Ally.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji anayeshughulikia Viwanda Dkt. Adelhelm Meru akimsikiliza kwa makini
mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Bakhresa alipotembelea banda la Kampuni hiyo
katika maonesho ya Viwanda vya Tanzania jana Dar es Salaam.
Picha zote: Frank
Shija, MAELEZO.





0 Comments