Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(kulia) akionesha kwa Watanzania na mahali pengine duniani, nguo iliyoshonwa na
mlemavu asiyeona Bw. Abdalah Nyangalilo (aliyevaa miwani), baada ya waziri huyo
kutembelea banda lake lililopo kwenye uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu
J. K. Nyerere, uliopo Barabara ya Kilwa, Jijini Da es salaam, na kumpatia
mlemavu huyo msaada wa vyerehani viwili.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo
ya Biashara Tanzania (TanTrade), Bw. Edwin Rutageruka, (aliyenyoosha kidole),
akimtembeza Waziri wa Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye
Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, eneo la Kilwa, Jijini
Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(kushoto) akiangalia kazi ya ubunifu wa Bw. Kaparata, aliyebuni gari na kulipa
jina la Kaparata, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(kushoto) akiangalia kazi ya ubunifu wa mitambo mbalimbali iliyobuniwa na
Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo-Sido, wakati alipotembelea maonesho ya
kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa
Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es
salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(kushoto) akiangalia bidhaa zilizotengenezwa na mjasiliamali mmoja, wakati
alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(kushoto) akiangalia bidhaa zilizotengenezwa na mjasiliamali mmoja, wakati
alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(katikati) akiangalia mashine ya kusindika mazao ilibuniwa na Chuo Kikuu Cha
Dar es salaam, wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(katikati) akiangalia zoezi la uhakiki wa Namba za utambulisho wa
Mfanyabiashara (TIN) alipotembelea Banda la Mamlaka ya Mapato nchini (TRA),
wakati alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb),
(katikati) akiangalia bidhaa za ngozi kutoka kwa wajasiliamali, wakati
alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika
kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya
Kilwa, Jijini Dar es salaam.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (katikati) akiongea
na maafisa wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchi ni (TFDA), wakati
alipotembelea maonesho ya kwanza ya viwanda vya ndani yanayofanyika kwenye Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Jijini Dar es salaam
(PICHA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-HAZINA)
0 Comments