Random Posts

MAJALIWA ATEMBELEA HOSPITALI YA MKOA WA ARUSHA, AANZA ZIARA YA MONDULI

Waziri Mkuu, Kasssim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Monduli baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Monduli kuanza ziara ya kazi wilayani humo Desemba 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waganga na Wauguzi wa hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakati al;ipoitembelea Desemba 4, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Monduli baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo kuanza ziara ya siku moja ya kazi wilayani humo Desemba 4, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akielekea kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakati a;lipoitembelea Desemba 4, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
 Mmoja wa wauguzi katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru akideki  katika wodi ya wazazi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembela wodi hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji wanawake waliolazwa kwenye wodi ya wazazi katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru wakati alipotembelea wodi hiyo na kukuta wakiwa wamelala watatu kwenye kitanda kimoja Desemba 4, 2016.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments