Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wilaya ya
Karatu baada ya kuwasili kwenye shule ya sekondari ya Karatu kuzungumza
na watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu Desemba 5,
2016.
(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na
halmashauri ya wilaya ya Karatu kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya
Karatu akiwa katika zira ya mkoa wa Arusha, Deemba 5, 2016. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mrisho Gambo na kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa
Mkoa wa Arusha, Lekule Laiza.
Baadhi ya watumishi wa serikali na halmashauri ya wilaya ya Karatu
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao
kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari ya Karatu akiwa katika ziara ya mkoa
wa Arusha Desemb 5, 2016.



0 Comments