Waziri
wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO, akifafanua jambo kwa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa alipomtembelea
ofisini kwake jijiin Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa,
akifafanua jambo kwa Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram
BABOO, walipokutana kwa majadiliano kuhusu
ushirikiano baina ya Wizara zao, jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania, Prof. Makame Mbarawa (wa nne
kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka nchini Mauritius, wa
pili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa na Utamaduni wa Mauritius, Dkt.
Nalimi LUCKHEENARAIN, na wa tatu kushoto ni
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Mauritius Bw. Santaram BABOO.
Imetolewa
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano
0 Comments