Katibu Mkuu wa Chama cha Watunisha Misuli Nchini
Bw. Francis Mapugilo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari
(hawapo pichani) kuhusu mashindano ya kutafuta bingwa wa kutunisha misuli
nchini Tanzania 2017 mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mshauri
wa Ufundi wa Chama hicho Bw. Fike Wilson na mwisho kulia Mwenyekiti wa Kamati
ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt.
Baadhi ya watunisha misuli wakionesha jinsi ya
kutunisha misuli kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)mapema hii leo jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya watunisha misuli wakiwa katika picha ya
pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo Bw. Nilesh Bhatt(kushoto)
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo.
0 Comments