Mazoezi ya kwanza ya wiki ya kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki
na Kati, Azam FC, kujiandaa na mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya African Lyon,
utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Jumapili hii saa 10.00
jioni.
0 Comments