Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi mwenyekiti wa
Kamati ya maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa
Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 12/12/2016.
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali wakiwa katika Sherehe ya kuadhimisha Maulid ya kuzalia Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(katikati) akiwa na wake
wa Viongozi mbali mbali na Wananchi wakiwa katika sherehe za maadhimisho
ya Maulid ya kuzalia Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja,ambapo mgeni rasmi akiwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,
Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji akimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(wa pili kushoto) katika Maulid matukufu ya kuzaliwa Mtume Muhammad
(S.A.W) Sherehe zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini
Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein (wa pili kushoto) akimuangalia Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Khamis Haji akitia ubani kama ishara ya Kuyafungua Maluid
matukufu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) Sherehe zilizofanyika jana
katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Waislamu na Wananchi waliohudhuria katika sherehe tukufu ya Maulid ya
kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika viwanja vya
Maisara Mjini Unguja,
Ustadh Ali Muombwa Hassan wa Chuo cha Kiislamu akitoa Tafsiri ya Qur'aan
Tukufu ya Suratul Touba (Aya 128 hadi 129) iliyosomwa katika sherehe
tukufu ya Maulid ya kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika
jana katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja
Wanafunzi wa Madressa Hidayatul Munineema na Nurul Islamia ya Mpendae
Mjini Unguja wakisoma Qaswida YaRabii Swali katika sherehe tukufu ya
Maulid ya kuzalia kwa Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika
viwanja vya Maisara Mjini Unguja,
Ustadh Mohamed Khamis Rashid wa Kiweani Pemba akisoma maulid Barzanji
mlango wa kwanza katika sherehe tukufu ya kuzalia kwa Mtume Muhammad
(S.A.W) zilizofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Unguja









0 Comments