Random Posts

ZIARA YA NAIBU WAZIRI-UUM, MHANDISI NGONYANI MKOANI MOROGORO

 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto), akisikiliza maoni kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kilosa Mpepo katika mkutano na wanakiji hao mara baada ya kukagua barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi-Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wanakijiji wa Kilosa Mpepo, Wilayani Malinyi Mkoa wa Morogoro, kuhusu hatua ya Ujenzi wa barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi-Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo hadi Lumecha.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akitoa ufafanuzi kwa wanakijiji wa Kilosa Mpepo wilayani Malinyi, Mkoa wa Morogoro, kuhusu hatua ya Ujenzi wa Barabara ya barabara kuu ya kitaifa (Trunk Roads) ya Mikumi-Mahenge, Lupilo-Kilosa Mpepo hadi Lumecha.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani akisalimiana na Mmoja wa wazee wa kijiji cha Kilosa Mpepo wilayani Malinyi, Mkoa wa Morogoro mapema kabla ya kuanza mazungumzo na wanakijiji hao.


Picha na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Post a Comment

0 Comments