Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia Dawa za Kulevya
Nchini Rogers William Sianga akijitambulisha mbele ya Baraza la Taifa la
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Udhibiti wa Dawa za Kulevya Nchini wakati akifungua kikao cha Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge,
Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa
uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe.Augustine Mahiga,Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Harrison Mwakyembe
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda wakizungumza jambo
wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za
Kulevya.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo
akizungumza jambo na Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na
kuzuia dawa Za Kulevya Nchini Rogers William Sianga wakati wa uzinduzi
wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe.Augustine Mahiga,Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe,Nape Nnauye, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Harrison Mwakyembe na
Waziri wa Mambo ya NdaniMhe Mwigulu Nchemba wakifuatilia hotuba ya
Waziri Mkuu wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti
Dawa za Kulevya.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.






0 Comments