Waziri
wa Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummuy Mwalimu
akihutubia wadau (hawapo pichani) wa kifua kikuu toka nchi mbalimbali
walioshiriki Mkutano wa Dunia wa 12 wa masuala ya Kudhibiti Kifua kikuu
unaofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regency jijini hapa.
Mganga
Mkuu wa Serikali Prof. Mohammad Bakari Kambi akiwasilisha mada mada kwenye
mkutano huo ambao unafanyika kwa siku tatu na umewashirikisha Serikali,Sekta
binafsi,Mashirika Binafsi na wadau mbalimbali wa afya.
Waziri
ummy Mwalimu akionesha kitabu cha mapambano dhidi ya kifua kikuu chenye
mikakati mbalimbali ya kudhibiti ugonjwa huo.
Waziri
Ummy Mwalimu akifuatalia Mada iliyokuwa ikiwasilishwa,kulia ni Mganga Mkuu wa
Serikali Prof. Mohammad kambi.
Washiriki
mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mada zinazowasilishwa kwenye mkutano huo
Picha
ya pamoja ya washiriki wa Mkutano wa Dunia wa 12 wa masuala ya Kudhibiti kifua
Kikuu Duniani.Nchi zilizohudhuria mkutano huo Afrika (Tanzania, Ethiopia,Kenya,
Malawi, Namibia, Uganda ,Zambia na Afrika kusini) nchi za Asia ni (India,Pakistan,Bangladesh) .
Picha
zote na Rayson Mwaisemba-Wizara ya Afya)
No comments:
Post a Comment