Random Posts

MATUKIO KATIKA PICHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE.


Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Vijana na Watu wenye Ulemavu) washiriki sherehe za maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani yenye kauli mbiu isemayo Tanzania ya Viwanda: wanawake ni Msingi wa mabadiliko kiuchumi. Maadhimisho hayo yamefanyika tarehe 8 Machi, 2017 katika Viwanja vya Mwembe yanga katika Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam. 

Post a Comment

0 Comments