HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYONOGA KATIKA UZINDUZI WA WASATU NORTHAMPTON, UINGEREZA - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 8 April 2017

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYONOGA KATIKA UZINDUZI WA WASATU NORTHAMPTON, UINGEREZA

 Watanzania na marafiki zao wakijimwaga ukumbi wa The Eastern District Social Club, Northampton.
 Furaha na shangwe ya WASATU
 Balozi Migiro (katikati) na mwana WASATU- mcheza ngoma asilia, Khadija Ismail. Wa kwanza ni Mtanzania, Salma Kashinde
 Muziki motomoto, Northampton.

Jumuiya ya wasanii Watanzania Uingereza (WASATU) ilizunduliwa kwa vigelegele na muziki mjini Northampton , katikati ya Uingereza jumamosi iliyopita. Tafrija hiyo ndogo lakini iliyowakutanisha zaidi ya Watanzania mia moja na marafiki zao wa Kenya, Uganda, Kongo , Nigeria, Uingereza nk, ilihudhuriwa na Mheshimiwa Balozi Dk Asha Rose Migiro. WASATU ilibuniwa mwaka jana kati ya wasanii wakiongozwa na mwanamuziki na mcheza sarakasi Fab Moses na promota wa vyakula vya Kitanzania, Bi Neema Kitilya. Asilimia 20 ya kipato cha onesho zilitolewa na WASATU kwa waliofikwa maafa ya mafuriko ya maji karibuni Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages