![]() |
Timu ya Maji Maji imelazimishwa sale ya
1 – 1 na Afrika Lyion katika mchezo uliochezwa uwanja wa Maji Maji mjini Songea
mkoani Ruvuma, Goli la Afrika Lyion limepatikana kipindi cha pili dakika ya 61
baada ya shuti kali lililopigwa na Peter Mwalyanzi , huku goli la Maji Maji
limepatikana dakika ya 74 na Kelvin Sabato .
|


0 Comments