Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha
Nyakega (aliesimama) akifafanua jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia)
akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini
Dodoma.
Wajumbe wa kikao cha uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments