Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya
zoezi la uhakiki wa vyeti kwa Watumishi
wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.katikati
ni
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe
katika vitabu hivyo vya taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma alivyopokea kutoka kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan na wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) Profesa Idris Kikula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitoa kitabu cha Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma alivyopokea kutoka kwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma. Katikati ni Makamu wa
Rais Samia Suluhu Hassan na wakwanza kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma (UDOM) Profesa Idris Kikula.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akinyanyua juu
Taarifa na vitabu vye majina 9,932 ya watumishi wenye vyeti vya kugushi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe na kufungua boksi kubwa lenye majina ya
watumishi zaidi ya 9,932 waliobainika kuwa na vyeti vya kugushi mara baada ya
kupokea Taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti
kwa watumishi wa umma kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa
Chimwaga mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina
hayo pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua boksi kubwa lenye
majina ya watumishi hao wa umma ambao wamegushi vyeti vyao .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma jina
mojawapo la mtumishi aliyegushi cheti katika taarifa hiyo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan wakiangalia vitabu vyenye majina ya watumishi wa Umma zaidi ya 9,932
waliogushi vyeti vyao vya elimu ya Sekondari.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Spika
wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala bora Angela Kairuki wakiminya kitufe kuashiria maadhimisho ya
miaka 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali, wanafunzi wa
UDOM, pamoja na watumishi wa Umma mara baada ya kupokea Taarifa ya zoezi la
uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma
kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala bora Angela Kairuki katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akagana na
watumishi mbalimbali wa umma, viongozi pamoja wanafunzi wa UDOM mara baada ya
kumaliza kuhutubia katika Ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia katika hadhara hiyo katika Chuo kikuu cha
Dodoma UDOM.
Wanafunzi
wa UDOM wakisikiliza kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika maadhimisho ya miaka 10
toka kuanzishwa kwake.
Baadhi
ya viongozi mbalimbali wakifatilia kwa makini Hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika maadhimisho
ya miaka 10 ya Chuo cha UDOM toka kuanzishwa kwake.
Baadhi
ya Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali wakifatilia kwa
makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Baadhi
ya Makatibu wakuu pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, wanafunzi pamoja
na walimu wa UDOM wakipiga makofi wakati
wakimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
wakati akiwasili katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Ukumbi wa Chimwaga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya miaka 10 ya Chuo kikuu
cha Dodoma UDOM katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.
PICHA NA IKULU




















0 Comments