Wadau wa Kinyerezi Family kiwa sambamba na Watoto wa kituo cha Watoto
waishio katika mazingira magumu,New Hope kilichopo Tabata,wakisali kwa
pamoja mara baada ya kuwakabidhi Msaada wa vitu mbalimbali,ikiwemo
mchele,nyama,sukari,mayai,nguo na vinginevyo,ili watoto hao nao wapate
kusherehekea vyema sikukuu ya Pasaka
waishio katika mazingira magumu,New Hope kilichopo Tabata,wakisali kwa
pamoja mara baada ya kuwakabidhi Msaada wa vitu mbalimbali,ikiwemo
mchele,nyama,sukari,mayai,nguo na vinginevyo,ili watoto hao nao wapate
kusherehekea vyema sikukuu ya Pasaka
Kinyerezi Family wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watoto wa kituo cha Watoto waishio katika mazingira magumu cha New Hope kilichopo Tabata,mara baada ya kuwakabidhi msaada wa vitu mbalimbali,ikiwemo
mchele,nyama,sukari,mayai,nguo na vinginevyo,ili na watoto hao wapate
kusherehekea vyema sikukuu ya Pasaka
mchele,nyama,sukari,mayai,nguo na vinginevyo,ili na watoto hao wapate
kusherehekea vyema sikukuu ya Pasaka
Pichani kushoto ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Kinyerezi Family ,Leo
Joseph Manyara na Mdau wakimkabidhi sehemu ya msaada huo Mwanzilishi na
Mlezi wa kituo cha New Hope Organizationi,Bi.Consoler Eliya.Kituo hicho
kilichopo Tabata,jijini Dar kinalea watoto zaidi ya 150 ambapo kati yao
32 ndio huishi kituoni hapo na wengine huja na kuondoka.
Wana Kikundi cha Kinyerezi Family wakiwa katika picha ya pamoja na
Mama Mwanzilishi na Mlezi wa kituo cha Watoto waishio katika mazingira
magumu.Consoler Eliya
Mwanzilishi na Mlezi wa kituo cha New Hope Organization,Consoler
Eliya akiwashukuru wana Kikundi cha Kinyerezi Family kwa kuwakumbuka
watu wenye matatizo mbalimbali kikiwemo kituo chake,kwa kuwapatia msaada
wa vitu mbalimbali,ili na wao waweze kusherehekea kwa furaha siku ya
Pasakam,Concoler amewaomba wana Kikundi hao na wadau wengine mbalimbali
kuwa na moyo wa kujitolea katika suala zima la kusaidia jamii zenye
matatizo,kwani kwa kufanya hivyo hata Mungu hawaongezea zaidi
palipopungua na kuendelea kuwabariki wao na familia zao
Katibu Msaidizi wa Kikundi cha Kinyerezi Family,Michael Masota
akitoa utambulisho na muongozo mfupi mara baada ya kufika kituoni
hapo,kushoto ni Mwanzilishi na Mlezi wa kituo hicho cha New
Hope,Bi.Consoler Eliya
Sehemu ya msaada huo wa vitu mbalimbali
Mmoja wa wajumbe wa Kikundi cha Kinyerezi Family,Bi Lightness
Kweka akizungumza machache katika hafla hiyo fupi ya kukabidhi msaada wa
vitu mbalimbali katika kituo hicho cha New Hope








0 Comments