Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili
Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya
Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi
wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es
salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre
Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali
ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada
hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta,
imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo
Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na
waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar
es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitoka
nje na muumini kijana baada ya kuhudhuria ibada ya Pasaka katika
Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016













0 Comments