Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 26 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akitoa hotuba kabla ya kuwatunuku wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwenye mahafali yaliyofanyika katika Kampasi ya Tabora.
Dkt. Henry Mambo, Mtendaji Mkuu na Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania akitoa neno la utangulizi kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 26 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kutoa hotuba kabla ya kuwatunuku wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwenye mahafali yaliyofanyika katika Kampasi ya Tabora.
Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 26 ya Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akijiandaa kuwatunuku wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma kwenye mahafali yaliyofanyika katika Kampasi ya Tabora.



0 Comments