Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akikagua majalada
katika masijala ya ofisi ya Ardhi, wilaya ya Kilombero Morogoro. Walioambatana
naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana Pila na Mkurugenzi wa Idara ya Sera
na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel
Mpanda.
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akitoa maelekezo kuhusu
utunzwaji bora wa majalada kwa afisa ardhi mteule wa wilaya ya Kilombero Morogoro. Walioambatana naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana Pila na Mkurugenzi
wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi;
Bwn. Ezekiel Mpanda.
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akitoa maelekezo
kuhusu utunzwaji bora wa machapisho na nyaraka mbalimbali katika ofisi ya
ardhi, kwa afisa ardhi mteule wa wilaya ya Kilombero Morogoro.
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akikagua utekelezaji
wa upimaji ardhi, uliofanyika katika kijiji cha Mikoleko, wilaya ya Kilombero Morogoro. Alioambatana nao ni watendaji wa ofisi ya Kanda ya kati (Morogoro) na
mradi wa kuwezesha umilikishaji ardhi (LTSP).
Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla katika picha ya
pamoja na watendaji wa ofisi ya Kanda ya kati (Morogoro), mradi wa kuwezesha
umilikishaji ardhi (LTSP) na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.
Na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi





0 Comments