Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhe. Alexander Mnyeti
akihojiwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge baada ya
kuitikia wito wa kamati hiyo, Bungeni mjini Dodoma leo, kujibu tuhuma
zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge kutokana na Matamshi
aliyoyatoa mapema mwaka huu Wilayani Arumeru Mkoani Arusha yaliyokuwa na madai
ya kuidharau Bunge.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)


0 Comments