Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu
walipofika na Ujumbe kutoka TLS kumtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini
Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa
Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake
Bungeni Mjini Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika
(TLS) Mhe.Tundu Lissu akimueleza jambo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai alipofika
kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea kitabu
chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS)kutoka kwa
Rais wa chama hicho Mhe.Tundu Lissu wakati viongozi wa Chama hicho walipofika
kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika
(TLS) Mhe.Tundu Lissu akimuonesha kitabu
chenye nyaraka kadhaa za Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma
pamoja na viongozi wengine wa TLS.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha
Wanasheria wa Tanganyika (TLS) wakiongozwa na Rais wao Mhe.Tundu Lissu walipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini
Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE.)



0 Comments