Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama
Janeth Magufuli katika Ibada ya Pasaka katika wa Kanisa la Afrika Inland Church
Pastorate ya Magomeni jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
waumini wa Kanisa hilo la la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni jijini
Dar es Salaam mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Wanakwaya katika Kanisa hilo wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya Ibada.
Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akizungumza Kanisani (AIC-Magomeni ) mara baada ya Ibada ya Pasaka.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Baba
Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles
Salala mara baada ya kuzungumza Kanisani hapo.
Baba
Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles
Salala akimuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo
na Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu
Charles Salala mara baada ya Ibada ya Pasaka kanisani hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Baba
Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu Charles
Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini Dar es
Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na
Baba Askofu wa Kanisa la Afrika Inland Church Pastorate ya Magomeni Askofu
Charles Salala wakati akiondoka Kanisani hapo AIC Pastorate ya Magomeni jijini
Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU















0 Comments