Random Posts

SPIKA AKUTANA NA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akipiga picha ya pamoja na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Iran nchini Tanzania, katikati ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang katika kikao kilichofanyika leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akikabidhiwa  zawadi ya Busati toka kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mhe. Mousa Farhang (Kulia) walipokutana leo katika kikao kilichofanyika ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Spika Mstaafu, Mhe. Anne Makinda (kulia) ugeni uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments