TAARIFA YA RUFAA YA SIMBA KWA MCHEZAJI WA KAGERA MWENYE KADI TATU ZA NJANO - MTAZAMO MEDIA

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 8 April 2017

TAARIFA YA RUFAA YA SIMBA KWA MCHEZAJI WA KAGERA MWENYE KADI TATU ZA NJANO

Kikao cha kamati ya masaa 72 kilichokaa Ijumaa April 7, 2017 kwenye ukumbi wa ofisi za shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kujadili rufaa mbalimbali ambazo zilitokea kwenye ligi kuu na michezo ya Play off ya SDL kimemalizika Salama.
Kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu ni rufaa ya Simba Kwa Bodi ya ligi wakidai wapewe pointi za mchezo dhidi ya Kagera sugar uliochezwa Jumapili iliyopita na Simba kufungwa Kwa magoli 2-1. Simba walimkatia rufaa mchezaji Mohamed Fakhi wa kagera Sugar wakidai alicheza akiwa na kadi tatu za njano na hivyo Kagera kukiuka taratibu na kanuni za ligi kuu ya Vodacom Tanzania.
Kamati ya Masaa 72 imetoa ufafanuzi kuwa Maamuzi ya rufaa ya Simba dhidi ya Mohamed Fakhi yatatolewa Alhamisi ya wiki Ijayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages