Random Posts

UJUMBE WA KAMPUNI YA "ENGINEERING CUNSULTANTS GROUPS"-ECG

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na mgeni wake  Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG  Bw.Amr Hassan Allouba  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo na ujumbe wake
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake  Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG  Bw.Amr Hassan Allouba  yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifuatana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "Engineering Consultants Groups"-ECG  Bw.Amr Hassan Allouba (katikati) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(kushoto) Balozi wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Nchini Misri Balozi Mohamed Haji Hamza
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulyahaya Mzee (kushoto) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali kuhusu Ripoti ya mkaguzi na Mdhibiti wa fedha za Serikali iliyozungumzia upotevu wa fedha katika Mawizara mbali mbali ambazo zimekuwa zikilipwa kwa makosa,katika ukumbi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.]24/04/2017. 

Post a Comment

0 Comments