Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI
Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt
Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu
hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi
Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika akijibu hoja mbalimbali
za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini
Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jmahuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ajadiliana jambo na Mbunge wa Chemba Mhe. Juma
Nkamia katika akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge na Mawaziri wakifuatilia kikao
cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.











0 Comments