Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akimuapisha
Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkabidhi
Mhe. Dkt Getrude Rwakatare vifaa vya kazi mara baada ya kumuapisha kuwa Mbunge
leo Aprili 20, 2017 Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao
cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii
Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge katika
kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,
2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete
akiuliza swali katika kikao cha
tisa cha Mkutano wa kumi wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Mhe. Suzan Kolimba
akijibu maswali ya wabunge mbalimbali
katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Aprili 20,2017.
Mbunge wa Mafinga Mjini (CCM) Mhe Cosata
David Chumi akiuliza swali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stella Manyanya akijibu
maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba
wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.
Isack Kamwele akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu
Kijaji akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Igunga Mhe. Dalali Kafumo wakati
wakijadiliana jambo katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika
kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,
2017.
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO















0 Comments