Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine
Mahiga akizungumza wakati wa mkutano baina ya wawakilishi kutoka Tanzania na
Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba na makubaliano ya
ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini
kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anayetarajiwa
kuwasili leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri
ya Afrika Kusini Bi. Maite Nkoana - Mashabane
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika
Kusini Bi. Maite Nkoana - Mashabane akizungumza wakati wa mkutano baina ya
wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya mikataba
na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa
kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine
Mahiga akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini
Bi. wakati wa mkutano baina ya
wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya
mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini
yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika
Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt.
Aziz Mlima.
Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali ya Jamhuri ya
Afrika Kusini wakiwa katika kikao cha majadiliano ya awali kuhusu mikataba na
makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini yanayotarajiwa
kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini
anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mawaziri kutoka Serikali za Tanzania
na Afrika Kusini (mstari wa mbele) wakiwa katika kikao cha majadiliano ya awali
kuhusu mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika
Kusini yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa
Afrika Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya
Nje wa Jamhuri ya Afrika Kusini Bi. Maite Nkoana - Mashabane akiwa katika picha
ya pamoja na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Agustine Mahiga (wapili kulia) wakati wa mkutano baina ya
wawakilishi kutoka Tanzania na Afrika Kusini kuhusu majadiliano ya awali ya
mikataba na makubaliano ya ushirikiano baina ya Tanzania na Afrika Kusini
yanayotarajiwa kutiwa saini kesho wakati wa Ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika
Kusini anayetarajiwa kuwasili leo Jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank
Shija – MAELEZO.

0 Comments