Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza
kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akijibu maswali
Mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.George
Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee
na Watoto Mhe,Ummy Mwalimu akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao
cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
11, 2017.
Naibu Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI) Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao
cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
11, 2017.
Kiongozi Mkuu wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni
na Mbunge wa Hai Mhe.Freeman Mbowe akimuuliza swali Waziri Mkuu Mhe.Kassim
Majaliwa katika kikao cha Ishirini na
mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri
wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na mbili cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Mbunge wa Same Magharibi(CCM) Mhe David Mathayo
David akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11,
2017.
Naibu Waziri
wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na
mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Amina Mollel(CCM)
akiuliza swali katika kikao cha Ishirini
na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani wakifuatilia
hoja mbalimbali Bungeni katika kikao cha
Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11,
2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza
jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera,Bunge,Kazi ,Vijana ,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijadili
jambo na wabunge mbalimbali kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
Wabunge wakijadili jambo katika kipindi cha
maswali na majibu katika kikao cha
Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11,
2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA














0 Comments