Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais
wa Uganda, Yoweri Museveni wakitia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa
majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba
la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika
hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam mapema leo Mei 21, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Rais
wa Uganda, Yoweri Museveni na wajumbe wao katika mazungumzo ya mwisho kabla ya
kutia saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya
mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima
nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini
Dar es salaam mapema leo Mei 21, 2017
Sehemu ya watendaji kutoka Wizara ya Nishati na Madini wakifurahia hotuba
iliyokuwa inatolewa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) katika hafla
hiyo.
Kutoka kulia, Katibu
Mkuu Kiongozi John William Herbert Kijazi, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, na
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt.
Augustine Mahiga wakibadilishana mawazo kabla ya hafla ya utiaji saini tamko
la pamoja na utekelezaji wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki
kutoka Hoima, Uganda hadi katika Bandari ya Tanga, Tanzania iliyofanyika mapema
Ikulu jijini Dar es Salaam mapema leo Mei 21, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akielezea faida za mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini
Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla hiyo.
Rais wa Uganda,Yoweri Museveni akiongea baada ya yeye na Rais Dkt John
Pombe Magufuli wa Tanzania kukamilisha zoezi la utiaji saini
tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa
utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini
Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es
salaam mapema leo Mei 21, 2017
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakiwa na
Mawaziri na maafisa waandamizi wa pande zote mbili baada ya kukamilika
zoezi la utiaji saini tamko la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na
vipengele vya mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta
ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania katika hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam mapema leo Mei 21, 2017.
Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni wakiwa na
watendaji wa pande zote mbili baada ya kukamilika zoezi la utiaji saini tamko
la pamoja la kukamilika kwa majadiliano na vipengele vya mkataba wa utekelezaji
wa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi
Tanga nchini Tanzania katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
mapema leo Mei 21, 2017








0 Comments