Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na
kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akimsikiliza Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda (kushoto)akizungumza
jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
kulia ni Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi
Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akipiga picha ya pamoja na ugeni kutoka UDART,
kulia ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART, Ndg. Joe Beda na kushoto ni Meneja
Mahusiano Msaidizi kutoka UDART Ndg. George Ntevi pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea leo Ofisini
kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Meneja Mahusiano Msaidizi kutoka
UDART Ndg. George Ntevi (kulia)akizungumza jambo pale ugeni kutoka UDART ulipomtembelea
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Habari UDART,
Ndg. Joe Beda.
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)



0 Comments