Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Mheshimiwa William Lukuvi (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua
semina ya wanachama wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana
katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania
wakifwatilia semina iliyoendelea leo katika
hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
Mheshimiwa William Lukuvi (katikati waliokaa) akipiga picha ya pamoja na wanachama
wa chama cha wapima Ardhi Tanzania, baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana
katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.




0 Comments