Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto)akizungumza na wafanyabishara katika hafla ya Msaada wa
Chakula kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali
uliotokea hivi karibuni, vilivyotolewa na Wafanyabiashara mbali mbali
katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa
wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati)akipokea fedha taslimu za Kitanzanuia Shilingi Millioni
kumi kutoka kwa Mwakilishi wa kuteuliwa na Rais na Mfanyabishara
Mhe,Ahmada Yahya Abdulwakil katika hafla ya Msaada wa Chakula kwa
waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi
karibuni vilivyotolewa leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja
vya Ikulu Mjini Zanzibar,(wa pili kulia) Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia)akipokea msaada wa Chakula kutoka kwa Hassan Mohamed Raza
kwa waathirika na maafa ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi
karibuni,chakula hivyo vikiwemo Unga wa Ngano,Mafuta,Mchele na Sukari,
vilivyotolewa leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya
Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kulia) Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi na (kushoto) Mfanyabiashara Said Bophar,
Baadhi ya Waandishi wa habari na Viongozi mbali mbali waliohudhuria
katika hafla ya kukabidhi ya Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa
ya Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni, vilivyotolewa
leo na Wafanyabiashara mbali mbali katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na wafanyabishara mbali mbakli
katika hafla ya kukabidhi Msaada wa Chakula kwa waathirika na maafa ya
Mvua za Masika na upepo mkali uliotokea hivi karibuni,mazungumzo hayo
yalifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
[Picha na Ikulu.]





0 Comments