Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) alipokuwa akiangalia maji yanayopita katika barabara ya Mwera gudini - Fuoni meli saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo
kwa Mkurugenzi wa Idara ya Ujenzi wa Barabara katika Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd,Ali Twahir leo wakati
alipotembelea Bonde la Kibonde Mzungu kutoka na Mafuriko yalitokea hivi
karibuni kutoka na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) alipokuwa
akiangalia maji ya Mvua yaliyofurika katika bonde la Mwanakwerekwe
nyumba mbili leo kutokana na ujenzi holela wa Nyumba za Wananchi
zilizojengwa na kupelekea kutopitisha maji katika njia inayoelekea Ziwa
Maboga, kutokana na mvua kubwa za Masika zinazoendelea kunyesha.
Pichani ni maji ya Mvua yakiwa yamefurika na kupelekea kufunga njia ambapo wananchi na magari hupita kwa taabu kubwa katika barabara ya Bonde la Kibonde Mzungu,wakati leo Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (
hayupo pichani) alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake katika ziara
maalum.
Pichani ni Nyumba zinazojengwa eneo la Nyumba mbili Mwanakwerekwe ambapo hali hii hupelekea kuzipa kwa mtaro wa maji ya Mvua
yanayoelekea ziwamaboga na kusababisha kuziba kwa barabara ya
Mwanakwerekwe-Fuoni hatua mabyo kusababisha usumbufu kwa wananchi
wanaotumia barabara hiyo,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( hayupo pichani) leo alitembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake katika ziara maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( wa pili kulia) alipokuwa akipata
maelezo kutoka kwa Mkuu ya Idara ya Mipango Miji,Kazi na Ujenzi katika
Baraza la Manispaa ya Zanzibar Nd,Mzee Khamis Juma wakati alipotembelea
Mtaro wa kaji machafu katika shehia ya Chumbuni alipokuwa katika ziara
ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika
zinazoendelea kunyesha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa maelekezo
kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji
Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipotembelea barabara ya Mwera gudini -
Fuoni meli saba leo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo
mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea
kunyesha (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed
Mahmoud.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akiangalia ramani
inayoonesha utaratibu wa Ujenzi wa Mitaro kutoka kwa Mkuu
ya Idara ya Mipango Miji,Kazi na Ujenzi katika Baraza la Manispaa ya
Zanzibar Nd,Mzee Khamis Juma (kulia) wakati alipotembelea Bonde la Maji
mwanakwerekwe leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Mohamed Aboud Mohammed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kushotio) alipokuwa akizungumza na
Wananchi wa Kijiji cha Bumbwisudi leo wakati alipofika kuwariji na
kuwapa pole kutokana na Nyumba zo kuingiliwa na maji ya mvua wakati
alipokuwa katika ziara ya kutembelea maoneo mbali mbali yaliyopatwa na
maafa ya Mvua za masika zinazoendelea kunyesha (wa pili kushoto) Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahmoud.
Picha na
Ikulu.









0 Comments