Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania .
Sehemu ya Vijana waliojitokeza kwenye ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa
za ajira kwa wanafunzi wa vyuo vikuu
kati ya Tanzania na China ambapo makampuni ya China yatatoa ajira kwa
wasomi wa Tanzani, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoaja na balozi wa China nchini Dkt.Lu Youqing ,MAKAMU
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala na
viongozi wengine wa Serikali na wa Chama cha Wafanyabiashara wa China
nchini Tazania mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya fursa za ajira
kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya Tanzania na China ambapo makampuni
ya China yatatoa ajira kwa wasomi wa Tanzania.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)






0 Comments