Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende aliyeambatana na ujumbe wake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Borge
Brende wanne kutoka (kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga wanne kutoka (kulia)pamoja na vingozi
wengine wa Tanzania na Norway mara baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri
wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende mara baada ya mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatazama Waziri
wa Mambo ya Nje wa Norway Borge Brende wakati akizungumza jambo na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga
Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU





0 Comments