Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha hamsini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira
na Muungano) Mhe.Luhaga Mpina akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni
akifafanua jambo katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack
Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo ,Mifugo na Uvuvi
Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia
Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega
katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Juni 19, 2017.
Maafisa habari wa chama cha Public Relations
Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia kwa makini
shughuli za Bunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akiwa na Naibu Katibu wa Wizara hiyo
Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa Wizara wakifuatilia mijadala
mbalimbali katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Wabunge kutoka Bunge la Msumbiji ambao ni wajumbe wa kamati
ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa ziara ya mafunzo wakiwa
katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA









0 Comments