Random Posts

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makala Aagiza Watendaji Idara ArdhiJjiji la Mbeya Kupiga Kambi Katika Kata Tatu Kutatatua Migogoro ya Ardhi

                      - Mkuu wa Mkoa wa Mbeya  amefanya mkutano wa hadhara kata ya Ilemi kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi
- Ameagiza mkuu wa idara ya ardhi na watendaji wake kupiga kambi  kuanzia tr 2 August kwenda katika kata za Ilemi, ITEZI na Mwakibete kushughulikia migogoro ya ardhi na wampe taarifa tr 21 August
- Amefanya uamuzi huo Baada ya kutoridhishwa na  kasi  ya kutatua migogoro ya ardhi ambapo wananchi wanadai kutolipwa fidia, kiwanja  kimoja kumilikishwa zaidi ya mtu mmoja

Post a Comment

0 Comments