Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Ushauri ya
Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) Bw. George Daniel
Yambesi (kulia) alipoitambulisha rasmi bodi hiyo jana Jijini Dar es
Salaam.
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
Wajumbe wakimsikiliza Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na
Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo katika picha) jana Jijini
Dar es Salaam alipokuwa akiwatambulisha wajumbe wapya wa bodi ya
ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt. Harrison
Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa
wa bodi ya ushauri waTaasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa).
(Picha na Lorietha Laurence-WHUSM).




0 Comments