Random Posts

Waziri Mwakyembe Awashukuru Walioshiriki Kumfariji katika Kipindi cha Msiba Wake.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) leo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akitoa neno la shukrani kwa wote walioshiriki katika kumfariji kipindi cha msiba wa mke wake mpendwa Bi. Linah George Mwakyembe. 




Post a Comment

0 Comments